Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan umeanza leo Jumapili na waumini wa dini ya Kiislam duniani kote wanatimiza ibada hiyo ambayo ni moja ya Nguzo Tano za dini hiyo.